وَإِنَّ عَلَيۡكَ ٱللَّعۡنَةَ إِلَىٰ يَوۡمِ ٱلدِّينِ ٣٥
Al-Hijr 15:35
سورة الحجر
Makka
Aya: 35/99
Ukurasa 264
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na hakika juu yako ipo laana mpaka Siku ya Malipo. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
umeshukiwa na laana na umewekwa mbali na rehema yangu mpaka Siku ya kufufuliwa watu ili wahesabiwe na walipwe..»
Al-Hijr 15:35
Inapakia kisomo…
0:00