قَالَ هَٰذَا صِرَٰطٌ عَلَيَّ مُسۡتَقِيمٌ ٤١
Al-Hijr 15:41
سورة الحجر
Makka
Aya: 41/99
Ukurasa 264
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Akasema: Hii Njia ya kujia kwangu Iliyo Nyooka. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Akasema Mwenyezi Mungu , «Hii ni njia nyofu iliyolingana inayofikisha kwangu na kwenye Nyumba ya ukarimu wangu.
Al-Hijr 15:41
Inapakia kisomo…
0:00