قَالُواْ لَا تَوۡجَلۡ إِنَّا نُبَشِّرُكَ بِغُلَٰمٍ عَلِيمࣲ ٥٣
Al-Hijr 15:53
سورة الحجر
Makka
Aya: 53/99
Ukurasa 265
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Wakasema: Usiogope. Sisi tunakubashiria kijana mwenye ujuzi. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Malaika wakamwambia, «Usiwe na kicho. Sisi tumekuja kukupa habari njema kwamba utapata mwana atakayekuwa na ujuzi mwingi wa Dini, naye ni Is’ḥāq.»
Al-Hijr 15:53
Inapakia kisomo…
0:00