قَالَ أَبَشَّرۡتُمُونِي عَلَىٰٓ أَن مَّسَّنِيَ ٱلۡكِبَرُ فَبِمَ تُبَشِّرُونَ ٥٤
Al-Hijr 15:54
سورة الحجر
Makka
Aya: 54/99
Ukurasa 265
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Akasema: Mnanibashiria nami uzee umenishika! Basi kwa njia gani mnanibashiria? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Ibrāhīm akasema, huku yuwaona ajabu, «Mnanipa habari njema za kupata mwana na mimi nishakuwa mtu mzima, na mke wangu pia, ni kwa njia gani mnanipa habari njema hizo za kushangaza?»
Al-Hijr 15:54
Inapakia kisomo…
0:00