وَإِن كَانَ أَصۡحَٰبُ ٱلۡأَيۡكَةِ لَظَٰلِمِينَ ٧٨
Al-Hijr 15:78
سورة الحجر
Makka
Aya: 78/99
Ukurasa 266
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na hakika watu wa Kichakani walikuwa wenye kudhulumu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na kwa hakika, wakazi wa mji uliozingirwa na miti, nao ni watu wa Shu'ayb, walikuwa ni wenye kuzidhulumu nafsi zao kwa kumkanusha Mwenyezi Mungu na Mtume wao mtukufu.
Al-Hijr 15:78
Inapakia kisomo…
0:00