فَٱصۡدَعۡ بِمَا تُؤۡمَرُ وَأَعۡرِضۡ عَنِ ٱلۡمُشۡرِكِينَ ٩٤
Al-Hijr 15:94
سورة الحجر
Makka
Aya: 94/99
Ukurasa 267
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Basi wewe yatangaze uliyo amrishwa, na jitenge na washirikina. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na utangaze waziwazi ulinganizi wa haki ambao Amekuamrisha nao Mwenyezi Mungu, wala usiwajali washirikina, kwani kwa kweli Amekutakasa Mwenyezi Mungu kutokana na hayo wanayoyasema.
Al-Hijr 15:94
Inapakia kisomo…
0:00