إِنَّ ٱلَّذِينَ يُنَادُونَكَ مِن وَرَآءِ ٱلۡحُجُرَٰتِ أَكۡثَرُهُمۡ لَا يَعۡقِلُونَ ٤
Al-Hujurat 49:4
سورة الحجرات
Madina
Aya: 4/18
Ukurasa 515
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hakika hao wanao kuita nawe uko nyuma ya vyumba, wengi wao hawana akili. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hakika ya wale wanaokuita, ewe Nabii, nyuma ya vyumba vyako kwa sauti ya juu, wengi wao hawana akili ya kuwapelekea kuwa na adabu nzuri pamoja na Mtume wa Mwenyezi Mungu, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, na kumheshimu.
Al-Hujurat 49:4
Inapakia kisomo…
0:00