وَمِنَ ٱلَّيۡلِ فَٱسۡجُدۡ لَهُۥ وَسَبِّحۡهُ لَيۡلࣰا طَوِيلًا ٢٦
Al-Insan 76:26
سورة الإنسان
Madina
Aya: 26/31
Ukurasa 580
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na usiku msujudie Yeye, na umtakase usiku, wakati mrefu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na wakati wa usiku, mnyenyekee Mola wako na umswalie na umuabudu kipindi kirefu cha usiku.
Al-Insan 76:26
Inapakia kisomo…
0:00