إِنَّ ٱلۡأَبۡرَارَ يَشۡرَبُونَ مِن كَأۡسࣲ كَانَ مِزَاجُهَا كَافُورًا ٥
Al-Insan 76:5
سورة الإنسان
Madina
Aya: 5/31
Ukurasa 578
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hakika watu wema watakunywa katika vinywaji vilivyo changanyika na kafuri, -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hakika watu wa utiifu na ukweli wa Imani wanaotekeleza haki za Mwenyezi Mungu, watakunywa, Siku ya Kiyama, kutoka kwenye kikombe ambacho ndani yake mna Pombe lililochanganywa na aina bora kabisa ya harufu nzuri, nayo ni maji ya kafuri.
Al-Insan 76:5
Inapakia kisomo…
0:00