إِنَّهُۥ كَانَ فِيٓ أَهۡلِهِۦ مَسۡرُورًا ١٣
Al-Inshiqaq 84:13
سورة الإنشقاق
Makka
Aya: 13/25
Ukurasa 589
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hakika alikuwa furahani kati ya jamaa zake. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hakika yeye alikuwa kwa watu wake ulimwenguni ni mwenye furaha na majivuno, hafikirii mwisho wake utakuwa namna gani.
Al-Inshiqaq 84:13
Inapakia kisomo…
0:00