وَٱللَّهُ أَعۡلَمُ بِمَا يُوعُونَ ٢٣
Al-Inshiqaq 84:23
سورة الإنشقاق
Makka
Aya: 23/25
Ukurasa 589
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na Mwenyezi Mungu anajua wanayo yadhamiria. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi zaidi wa ukaidi wao wanaouficha kwenye nyoyo zao hali wao wanajua kuwa yale yaliyoletwa na Qur’ani ni kweli.
Al-Inshiqaq 84:23
Inapakia kisomo…
0:00