سُبۡحَٰنَهُۥ وَتَعَٰلَىٰ عَمَّا يَقُولُونَ عُلُوࣰّا كَبِيرࣰا ٤٣
Al-Isra 17:43
سورة الإسراء
Makka
Aya: 43/111
Ukurasa 286
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Subhanahu Wa Taa'la, Ametakasika na Ametukuka juu kabisa na hayo wanayo yasema. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Mwenyezi Mungu Ameepukana na kutakata na hayo wanayoyasema washirikina, na Ametukuka utukufu mkubwa.
Al-Isra 17:43
Inapakia kisomo…
0:00