وَلَوۡلَآ أَن ثَبَّتۡنَٰكَ لَقَدۡ كِدتَّ تَرۡكَنُ إِلَيۡهِمۡ شَيۡـࣰٔا قَلِيلًا ٧٤
Al-Isra 17:74
سورة الإسراء
Makka
Aya: 74/111
Ukurasa 289
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na lau kuwa hatukukuweka imara ungeli karibia kuwaelekea kidogo. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na lau si sisi kukuimarisha kwenye haki na kukuhifadhi usikubaliane nao, ungalikaribia kuelemea kwao kidogo katika yale waliyokushauri kwa nguvu za udanganyifu wao na wingi wa hila zao na kuwa na hamu kwako waongoke.
Al-Isra 17:74
Inapakia kisomo…
0:00