وَفِي خَلۡقِكُمۡ وَمَا يَبُثُّ مِن دَآبَّةٍ ءَايَٰتࣱ لِّقَوۡمࣲ يُوقِنُونَ ٤
Al-Jathiya 45:4
سورة الجاثية
Makka
Aya: 4/37
Ukurasa 499
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na katika umbo lenu na katika wanyama alio watawanya zimo Ishara kwa watu wenye yakini. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na katika kuwaumba nyinyi, enyi watu, na uumbaji wa vilivyotapakaa ardhini miongoni mwa vinavyotambaa juu yake, kuna hoja na dalili kwa watu wenye imani ya yakini juu ya Mwenyezi Mungu na Sheria Yake.
Al-Jathiya 45:4
Inapakia kisomo…
0:00