إِنَّ فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ لَأٓيَٰتࣲ لِّلۡمُؤۡمِنِينَ ٣
Al-Jathiya 45:3
سورة الجاثية
Makka
Aya: 3/37
Ukurasa 499
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hakika katika mbingu na ardhi ziko Ishara kwa Waumini. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hakika kwenye mbingu saba na ardhi ambapo humo viumbe vinatoka, na vilivyomo baina ya hivyo viwili miongoni mwa viumbe wa jinsi tofauti na aina mbalimbali, kuna dalili na hoja kwa wenye kuziamini.
Al-Jathiya 45:3
Inapakia kisomo…
0:00