قُلۡ إِنِّي لَآ أَمۡلِكُ لَكُمۡ ضَرࣰّا وَلَا رَشَدࣰا ٢١
Al-Jinn 72:21
سورة الجن
Makka
Aya: 21/28
Ukurasa 573
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Sema: Mimi sina mamlaka ya kukudhuruni wala kukuongozeni. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Sema, ewe Mtume, uwaambie hawa makafiri, «Mimi siwezi kuwaondolea shida yoyote wala kuwaletea manufaa yoyote.»
Al-Jinn 72:21
Inapakia kisomo…
0:00