وَأَنَّا ظَنَنَّآ أَن لَّن تَقُولَ ٱلۡإِنسُ وَٱلۡجِنُّ عَلَى ٱللَّهِ كَذِبࣰا ٥
Al-Jinn 72:5
سورة الجن
Makka
Aya: 5/28
Ukurasa 572
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Nasi tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwongo Mwenyezi Mungu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
«Na kwamba sisi tulidhani kuwa hakuna yoyote atakayemzulia Mwenyezi Mungu Aliyetukuka urongo, si katika binadamu na si katika majini, wa kumnasibishia Yeye mke na mtoto.
Al-Jinn 72:5
Inapakia kisomo…
0:00