Al-Kahf 18:103

سورة الكهف

Makka Aya: 103/110 Ukurasa 304

قُلۡ هَلۡ نُنَبِّئُكُم بِٱلۡأَخۡسَرِينَ أَعۡمَٰلًا ١٠٣

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Sema: Je, tukutajieni wenye khasara mno katika vitendo vyao?
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Waambie watu, ewe Mtume, kwa kuwaonya: Je, tuwapashe habari ya watu wenye vitendo vya hasara zaidi?

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu