يُرِيدُونَ أَن يَخۡرُجُواْ مِنَ ٱلنَّارِ وَمَا هُم بِخَٰرِجِينَ مِنۡهَاۖ وَلَهُمۡ عَذَابࣱ مُّقِيمࣱ ٣٧
Al-Ma'idah 5:37
سورة المائدة
Madina
Aya: 37/120
Ukurasa 114
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Watataka watoke Motoni, lakini hawatatoka humo, na watakuwa na adhabu inayo dumu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Makafiri hawa watataka watoke Motoni kwa ajili ya visanga vyake wanavyovipata, lakini hawatakuwa na njia yoyote ya kufanya hivyo. Na watakuwa na adhabu ya kudumu.
Al-Ma'idah 5:37
Inapakia kisomo…
0:00