Al-Ma'idah 5:37

سورة المائدة

Madina Aya: 37/120 Ukurasa 114

يُرِيدُونَ أَن يَخۡرُجُواْ مِنَ ٱلنَّارِ وَمَا هُم بِخَٰرِجِينَ مِنۡهَاۖ وَلَهُمۡ عَذَابࣱ مُّقِيمࣱ ٣٧

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Watataka watoke Motoni, lakini hawatatoka humo, na watakuwa na adhabu inayo dumu.

Soma sura nzima Linganisha tafsiri Tafsiri ya Kiarabu