ثُمَّ أَدۡبَرَ وَٱسۡتَكۡبَرَ ٢٣
Al-Muddaththir 74:23
سورة المدثر
Makka
Aya: 23/56
Ukurasa 576
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Kisha akaipa kisogo haki, na akatakabari. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Kisha akarudi kuipa mgongo haki na akajiona ni mkubwa wa kutofaa kuikubali,
Al-Muddaththir 74:23
Inapakia kisomo…
0:00