سَأُصۡلِيهِ سَقَرَ ٢٦
Al-Muddaththir 74:26
سورة المدثر
Makka
Aya: 26/56
Ukurasa 576
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Nitakuja mtia kwenye Moto wa Saqar. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Basi nitamuingiza kwenye moto wa Jahanamu ili alionje joto lake na achomeke kwa moto wake.
Al-Muddaththir 74:26
Inapakia kisomo…
0:00