وَمَآ أَدۡرَىٰكَ مَا سَقَرُ ٢٧
Al-Muddaththir 74:27
سورة المدثر
Makka
Aya: 27/56
Ukurasa 576
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na nini kitakujuulisha ni nini huo Moto wa Saqar? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na ni lipi lililokujulisha wewe ni kitu gani hiyo Jahanamu?
Al-Muddaththir 74:27
Inapakia kisomo…
0:00