Al-Muddaththir 74:35

سورة المدثر

Makka Aya: 35/56 Ukurasa 576

إِنَّهَا لَإِحۡدَى ٱلۡكُبَرِ ٣٥

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Hakika huo Moto ni katika mambo yaliyo makubwa kabisa!

Soma sura nzima Linganisha tafsiri Tafsiri ya Kiarabu