قَالُواْ رَبَّنَا غَلَبَتۡ عَلَيۡنَا شِقۡوَتُنَا وَكُنَّا قَوۡمࣰا ضَآلِّينَ ١٠٦
Al-Mu'minun 23:106
سورة المؤمنون
Makka
Aya: 106/118
Ukurasa 349
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Mola wetu Mlezi! Tulizidiwa na uovu wetu na tukawa watu tulio potea. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Wakikubali kuwa Mitume wao waliwapelekea ujumbe na wakawaonya, watasema Siku ya Kiyama, «Mola wetu! Raha zetu, na pia matamanio yetu yalikadiriwa kwetu kwenye ujuzi wako uliotangulia, zilitutawala na kwa hivyo tukawa, katika matendo yetu, ni wenye kupotea na kuwa kando ya njia ya uongofu.
Al-Mu'minun 23:106
Inapakia kisomo…
0:00