ٱلَّذِينَ يَرِثُونَ ٱلۡفِرۡدَوۡسَ هُمۡ فِيهَا خَٰلِدُونَ ١١
Al-Mu'minun 23:11
سورة المؤمنون
Makka
Aya: 11/118
Ukurasa 342
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Ambao watairithi Pepo ya Firdausi, wadumu humo. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Ambao watairithi Pepo ya juu kabisa na ya kati na kati, nayo ndiyo yenye mashukio bora zaidi kuliko zote, wao humo watakaa milele, neema zao hazitakatika wala hazitaondoka.
Al-Mu'minun 23:11
Inapakia kisomo…
0:00