ثُمَّ إِنَّكُم بَعۡدَ ذَٰلِكَ لَمَيِّتُونَ ١٥
Al-Mu'minun 23:15
سورة المؤمنون
Makka
Aya: 15/118
Ukurasa 342
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Kisha hakika nyinyi baada ya hayo mtakufa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Kisha nyinyi, enyi binadamu, baada ya vipindi vya maisha na umri kukoma, mtakufa.
Al-Mu'minun 23:15
Inapakia kisomo…
0:00