وَشَجَرَةࣰ تَخۡرُجُ مِن طُورِ سَيۡنَآءَ تَنۢبُتُ بِٱلدُّهۡنِ وَصِبۡغࣲ لِّلۡأٓكِلِينَ ٢٠
Al-Mu'minun 23:20
سورة المؤمنون
Makka
Aya: 20/118
Ukurasa 343
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na mti utokao katika mlima wa Sinai, unatoa mafuta na kuwa kitoweo kwa walao. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na tukawatolea nyinyi kwa maji hayo mizaituni ambayo inatoka kandokando ya jabali la Tūr Ṣīnā’ ambao unakamuliwa mafuta ya kujipaka na kutumia kwa chakula.
Al-Mu'minun 23:20
Inapakia kisomo…
0:00