قَالَ عَمَّا قَلِيلࣲ لَّيُصۡبِحُنَّ نَٰدِمِينَ ٤٠
Al-Mu'minun 23:40
سورة المؤمنون
Makka
Aya: 40/118
Ukurasa 344
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
(Mwenyezi Mungu) akasema: Baada ya muda mchache watakuwa wenye kujuta. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Mwenyezi Mungu Akasema Akiyakubali maombi yake, «Kwa muda mchache watakuwa ni wenye kujuta.» Yaani, baada ya kipindi cha muda mchache watakuwa na majuto hao wakanushaji.»
Al-Mu'minun 23:40
Inapakia kisomo…
0:00