فَذَرۡهُمۡ فِي غَمۡرَتِهِمۡ حَتَّىٰ حِينٍ ٥٤
Al-Mu'minun 23:54
سورة المؤمنون
Makka
Aya: 54/118
Ukurasa 345
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Basi waache katika ghafla yao kwa muda. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Basi waache , ewe Mtume, kwenye upotevu wao na ujinga wao wa kutoijua haki hadi pale adhabu itakapowashukia.
Al-Mu'minun 23:54
Inapakia kisomo…
0:00