بَلۡ قَالُواْ مِثۡلَ مَا قَالَ ٱلۡأَوَّلُونَ ٨١
Al-Mu'minun 23:81
سورة المؤمنون
Makka
Aya: 81/118
Ukurasa 347
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Bali wanasema kama walivyo sema watu wa kwanza. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Lakini makafiri hawakuamini kuwa kuna kufufuliwa, lakini waliyakariri maneno ya wakale wao wakanushaji.
Al-Mu'minun 23:81
Inapakia kisomo…
0:00