إِنَّ ٱلۡمُتَّقِينَ فِي ظِلَٰلࣲ وَعُيُونࣲ ٤١
Al-Mursalat 77:41
سورة المرسلات
Makka
Aya: 41/50
Ukurasa 581
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hakika wachamngu watakuwa katika vivuli na chemchem, -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hakika ya wale waliomuogopa Mola wao duniani na wakaiogopa adhabu Yake kwa kufuata amri Zake na kujiepusha na makatazo Yake. Wao Siku ya Kiyama watakuwa kwenye vivuli vya miti vilivyonyoka, na chemchemi za maji zinazotembea,
Al-Mursalat 77:41
Inapakia kisomo…
0:00