كُلُواْ وَٱشۡرَبُواْ هَنِيٓـَٔۢا بِمَا كُنتُمۡ تَعۡمَلُونَ ٤٣
Al-Mursalat 77:43
سورة المرسلات
Makka
Aya: 43/50
Ukurasa 581
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Kuleni na kunyweni kwa furaha kwa yale mliyo kuwa mkiyatenda. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
«Kuleni chakula chenye ladha na mnyweni kinywaji chenye kufurahisha kwa sababu ya matendo mema mliyoyatanguliza duniani.»
Al-Mursalat 77:43
Inapakia kisomo…
0:00