إِنَّا كَذَٰلِكَ نَجۡزِي ٱلۡمُحۡسِنِينَ ٤٤
Al-Mursalat 77:44
سورة المرسلات
Makka
Aya: 44/50
Ukurasa 581
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hakika ndio kama hivyo tunavyo walipa watendao mema. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Sisi, kwa mfano wa malipo hayo makubwa, tutawalipa watu wema katika matendo yao na utiifu wao kwetu.
Al-Mursalat 77:44
Inapakia kisomo…
0:00