Al-Mutaffifin 83:7

سورة المطففين

Makka Aya: 7/36 Ukurasa 588

كَلَّآ إِنَّ كِتَٰبَ ٱلۡفُجَّارِ لَفِي سِجِّينࣲ ٧

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Hasha! Hakika maandiko ya wakosefu bila ya shaka yamo katika Sijjin.
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Hakika marejeo ya watu waovu na makazi yao yatakuwa katika hali ya dhiki.

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu