وَذَرۡنِي وَٱلۡمُكَذِّبِينَ أُوْلِي ٱلنَّعۡمَةِ وَمَهِّلۡهُمۡ قَلِيلًا ١١
Al-Muzzammil 73:11
سورة المزمل
Makka
Aya: 11/20
Ukurasa 574
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na niache Mimi na hao wanao kanusha, walio neemeka; na wape muhula kidogo! -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na uniache mimi, ewe Mtume, na hawa wakanushaji wa aya zangu, wenye starehe na gogi la ulimwengu, na uwape muhula wa muda mchache kwa kucheleweshewa adhabu mpaka muda wa wao kuadhibiwa ufikie ukomo wake.
Al-Muzzammil 73:11
Inapakia kisomo…
0:00