Al-Muzzammil 73:12

سورة المزمل

Makka Aya: 12/20 Ukurasa 574

إِنَّ لَدَيۡنَآ أَنكَالࣰا وَجَحِيمࣰا ١٢

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Hakika Sisi tunazo pingu nzito na Moto unao waka kwa ukali kabisa!
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Kwa hakika wao watapata kwetu sisi huko Akhera pingu nzito na Moto wenye kuwaka ambao watachomwa nao,

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu