وَطَعَامࣰا ذَا غُصَّةࣲ وَعَذَابًا أَلِيمࣰا ١٣
Al-Muzzammil 73:13
سورة المزمل
Makka
Aya: 13/20
Ukurasa 574
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na chakula kinacho kwama kooni, na adhabu inayo umiza. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
na chakula cha kuchukiza chenye kusakama kooni kisicho na ladha, na adhabu inayoumiza.
Al-Muzzammil 73:13
Inapakia kisomo…
0:00