يَوۡمَ تَرۡجُفُ ٱلۡأَرۡضُ وَٱلۡجِبَالُ وَكَانَتِ ٱلۡجِبَالُ كَثِيبࣰا مَّهِيلًا ١٤
Al-Muzzammil 73:14
سورة المزمل
Makka
Aya: 14/20
Ukurasa 574
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Siku ambayo ardhi itatikiswa na milima pia, na milima itakuwa kama tifutifu la mchanga! -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Siku itakapotikisika na kusukikasukika ardhi na majabali mpaka majabali yawe mlima wa mchanga wenye kutiririka na kupeperuka, baada ya kuwa kwenye hali ya ugumu na ukavu.
Al-Muzzammil 73:14
Inapakia kisomo…
0:00