وَلَا تُطِعۡ كُلَّ حَلَّافࣲ مَّهِينٍ ١٠
Al-Qalam 68:10
سورة القلم
Makka
Aya: 10/52
Ukurasa 564
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Wala usimt'ii kila mwingi wa kuapa wa kudharauliwa, -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Usimkubalie, ewe Mtume, kila mtu mweye kuapa mayamini sana,
Al-Qalam 68:10
Inapakia kisomo…
0:00