قَالَ أَوۡسَطُهُمۡ أَلَمۡ أَقُل لَّكُمۡ لَوۡلَا تُسَبِّحُونَ ٢٨
Al-Qalam 68:28
سورة القلم
Makka
Aya: 28/52
Ukurasa 565
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Mbora wao akasema: Sikukwambieni, kwa nini hamumtakasi Mwenyezi Mungu? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Akasema muadilifu zaidi miongoni mwao, «Kwani sikuwaambia myafunge maneno yenu na matakwa ya mwenyezi Mungu kwa kusema ‘Mwenyezi Mungu Akitaka’?»
Al-Qalam 68:28
Inapakia kisomo…
0:00