إِنَّ لِلۡمُتَّقِينَ عِندَ رَبِّهِمۡ جَنَّٰتِ ٱلنَّعِيمِ ٣٤
Al-Qalam 68:34
سورة القلم
Makka
Aya: 34/52
Ukurasa 565
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hakika wachamngu watakuwa na Bustani za neema kwa Mola wao Mlezi. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hakika wale waliojikinga na mateso ya Mwenyezi Mungu kwa kufanya yale Aliyowaamrisha na kuacha yale Aliyoyakataza, watapata kwa Mola wao huko Akhera, mabustani ya Peponi ambayo ndani yake kuna starehe za daima.
Al-Qalam 68:34
Inapakia kisomo…
0:00