أَفَنَجۡعَلُ ٱلۡمُسۡلِمِينَ كَٱلۡمُجۡرِمِينَ ٣٥
Al-Qalam 68:35
سورة القلم
Makka
Aya: 35/52
Ukurasa 565
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Kwani tutawafanya Waislamu kama wakosefu? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Je tuwafanye wale wanaomnyenyekea Mwenyezi Mungu kwa kumtii ni kama wale waliokufuru?
Al-Qalam 68:35
Inapakia kisomo…
0:00