كَذَّبَتۡ عَادࣱ فَكَيۡفَ كَانَ عَذَابِي وَنُذُرِ ١٨
Al-Qamar 54:18
سورة القمر
Makka
Aya: 18/55
Ukurasa 529
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Kina A'di walikanusha. Basi ilikuwaje adhabu yangu na maonyo yangu? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Watu wa kabila la 'Ād walimkanusha Hūd tukawatesa, basi ilikuwa vipi vile nilivyowaadhibu wao kwa ukafiri wao na vile nilivyowaonya wao kwa kumkanusha Mtume wao na kutomuamini? Ilikuwa kubwa yenye uchungu.
Al-Qamar 54:18
Inapakia kisomo…
0:00