وَكَذَّبُواْ وَٱتَّبَعُوٓاْ أَهۡوَآءَهُمۡۚ وَكُلُّ أَمۡرࣲ مُّسۡتَقِرࣱّ ٣
Al-Qamar 54:3
سورة القمر
Makka
Aya: 3/55
Ukurasa 528
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na wamekanusha na wamefuata matamanio yao. Na kila jambo ni lenye kuthibiti. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na walimkanusha Nabii, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, wakafuata upotevu wao na kile cha ukanushaji ambacho matamanio yao yaliwavuta kwacho. Na kila jambo, la kheri au la shari, litawashukia wanaostahili Siku ya Kiyama yatakapodhihiri malipo na mateso.
Al-Qamar 54:3
Inapakia kisomo…
0:00