أَمۡ يَقُولُونَ نَحۡنُ جَمِيعࣱ مُّنتَصِرࣱ ٤٤
Al-Qamar 54:44
سورة القمر
Makka
Aya: 44/55
Ukurasa 530
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Au ndio wanasema: Sisi ni wengi tutashinda tu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Au kwani wanasema makafiri wa Makkah, «Sisi ndio wenye ushupavu na busara, na jambo letu ni la pamoja. Sisi ni watu wa ushindi, na hatatushinda anayetutaka kwa ubaya.?»
Al-Qamar 54:44
Inapakia kisomo…
0:00