وَيَوۡمَ يُنَادِيهِمۡ فَيَقُولُ مَاذَآ أَجَبۡتُمُ ٱلۡمُرۡسَلِينَ ٦٥
Al-Qasas 28:65
سورة القصص
Makka
Aya: 65/88
Ukurasa 393
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na siku atapo waita na akasema: Mliwajibu nini Mitume? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na siku ambayo Mwenyezi Mungu Atawaita hawa washirikina na aseme, «Mliwajibu vipi Mitume katika yale tuliyowatuma wao kwenu?»
Al-Qasas 28:65
Inapakia kisomo…
0:00