Al-Qiyamah 75:24

سورة القيامة

Makka Aya: 24/40 Ukurasa 578

وَوُجُوهࣱ يَوۡمَئِذِۭ بَاسِرَةࣱ ٢٤

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Na zipo nyuso siku hiyo zitakao kunjana.
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Nyuso za watu wabaya Silku ya Kiyama zitakuwa ni zenye kukunjana na kusinyaa,

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu