Al-Qiyamah 75:25

سورة القيامة

Makka Aya: 25/40 Ukurasa 578

تَظُنُّ أَن يُفۡعَلَ بِهَا فَاقِرَةࣱ ٢٥

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Zitajua ya kuwa zitafikiwa na livunjalo uti wa mgongo.
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    zinatazamia kushukiwa na msiba mkubwa wenye kuvunja.

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu