أَلَيۡسَ ذَٰلِكَ بِقَٰدِرٍ عَلَىٰٓ أَن يُحۡـِۧيَ ٱلۡمَوۡتَىٰ ٤٠
Al-Qiyamah 75:40
سورة القيامة
Makka
Aya: 40/40
Ukurasa 578
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Je! Huyo hakuwa ni Muweza wa kufufua wafu? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Ndio! Anaweza. Yeye, kutakasika na sifa za upungufu ni Kwake, kwa hakika ni Muweza wa hilo.
Al-Qiyamah 75:40
Inapakia kisomo…
0:00